Ufaulu wa CE

Ufaulu wa CE

Je hivi vyuo vina competition wakuu st.john dodoma,Kampala,teofilo kisanji mbeya,,st.john dar,eckenforde tanga
Hivyo havina sema ada yao ipo juu, jarbu Mwenge Cathoric university naStella Maris Mtwara
 
kwangu mm haya ni maajabu ya 8 kabixa haiwezekani mamia ya vijana wana point 10, 11 na hata 9 wakose vyuo hao wenye vigezo TCU mmewatoa wapi?
 
Kuna vijana wamenifuata mmoja. ana one point 9 mwingine two ya point 10 wamekosa vyuo mweee nikiangalia vyuo vilivyopo kwasasa mpaka nashindwa namna ya kuwasaidia nikilinganisha na uwezo wa kiuchumi walonao nikilinganisha na ada za hiv vyuo vilivyobaki duh hatar sana

HAPA VIJANA MTAISOMA NAMBA KAMA KAULI MBIU YETU ILIVYOJIELEZA HAPO AWALI

mwenyezi mungu awatangulie vijana wote mlofaulu vzur bt TCU hawajazithamini jitihada zenu
 
Hayo matokeo ni sayansi au arts
 
Hapo kuna uwezekano wa kupata second round division two 12 DCE
1474207352326.jpg
 
Yupi aliefaulu sana kati ya aliepata DD na aliepata CE?
Hao wote wana 4 points ingawa matokeo ya jumla pia huweza kumpa nafasi mmoja kat ya mwingine

Bt in case course inahitaji point 4 hao wote wana vigezo
 
Back
Top Bottom