ishayoyoma hiyoipo haja vyuo vya private navo viunde tume yakudahili maana kwa haya madudu wanayofanya tcu siyo fair kabisa hao wanafunzi 8000 inamaana pesa yao imeliwa ..........
Kampala hakina competition, ni point zako 4 na pochi ya kueleweka tu! Kwa kozi za afya ni 4.5 na pochi yako tu! Halafu nafasi zao za second round ni nyingi kuliko za first round!Je hivi vyuo vina competition wakuu st.john dodoma,Kampala,teofilo kisanji mbeya,,st.john dar,eckenforde tanga
Huyo alikuwa na ufahamu wa kupima suti kwa mujibu wa urefu wake! CEE si mchezo hasa kwa sayansi!kuna mdogo angu kapata first round ana CEE anasubil tu kuambiwa chuo.
Hii ni dalili ya watu kutozingatia vigezo vilivyowekwa. Unaishia kupoteza 50000/= na huenda nafasi ya kuomba program uliostahili. Ni dhahiri hii CAS haijaribiwi.ipo haja vyuo vya private navo viunde tume yakudahili maana kwa haya madudu wanayofanya tcu siyo fair kabisa hao wanafunzi 8000 inamaana pesa yao imeliwa ..........
Vyuo vya private km saut-, tumaini makumira university, iringa universityJe wakuu ni vyuo gani kwa second round ambavyo havina ushindani kwa bachelor of arts with education
Je hivi mkuu st john,Kampala,teofilo kisanji,eckenfodeVyuo vya private km saut-, tumaini makumira university, iringa university
St john hovyo tu, eckoneford very local pia kipo pale mitaa ya kange tangaJe hivi mkuu st john,Kampala,teofilo kisanji,eckenfode