Kidato gani unazungumzia? maana form four div 4 huendelei mbele labda vyuo vya kati, lkn form two ukiwa na D mbili umepita au C moja unaenda form threeSerikali itoe agizo kuwa wenye Divion 4 wasiruhusiwe kuendelea na elimu katika mfumo rasmi, warudie mitihani au wasiendelee na masomo kabisa
Elimu ya Inchi hii ni kitukoo..Unambiwa mtoto akipata C moja ya kiswahili mengine yote F ,anasonga kidato Cha tatu
Yani vijana wanashindwa hata kufauli nusu ya masomo wanayosoma ni hatari sana na wanasonga mbele tuhElimu ya Inchi hii ni kitukoo..
😂🤣😭
Naunga mkono hoja.Serikali itoe agizo kuwa wenye Divion 4 wasiruhusiwe kuendelea na elimu katika mfumo rasmi, warudie mitihani au wasiendelee na masomo kabisa
Hata Div 3 bado kuna wajinga wengi hupenya. Mwisho Iwe Div 2.
Mwenye SHIBE hamkumbuki mwenye NJAA. Mtihani ni mmoja nchini nzima lakini mazingira ya kujifunzia tofauti. Hivi unampima Mwanafunzi wa FEZA SCHOOL na mwanafunzi wa kijijini while haina Library wala Maabara kwa mtihani ule ule? Mfano halisi Serikali imeweka SPECIAL Schools na Shule za kata, je mazingira ya kujifunzia yapo sawa. Special school wana soma hadi usiku, shule ya kata mwisho saa name nyumbani. Nenda mwenye Special school kaangalie miundombinu ukarabati tu 500 milioni, ofisi za kutosha, na nyumba jirani na shule. Shule za kata darasa halina sakafu, walimu hawana ofisi na hakuna nyumba ya mwalimu hata moja. Jiulize kwanini serikali inatenga wanafunzi hawa bora hawa sio bora, hawa mazingira mazuri, hawa mabovu? Labda kwa sasa kwa madarasa mapya ya Samia lakini kabla ya hapo hali ilikuwa mbaya sana. Mw Fikiria kuhusu Tanzania nzima sio sehemu moja ya Tanzania utaona hali ilivyo mbaya. Ndugu ELIMU na KUELIMIKA sio kufaulu mtihani kwani hata ukiiba utafaulu. ELIMU ni kupata UJUZI na KUELIMIKA ni kutumia UJUZI uliopata ipasavyo kwa kufanya mambo sahihi kwa wakati sahihi na kwa watu sahihi ikiambatana na maadili ya UJUZI wako. Ufaulu wa mtihani sio kipimo cha UJUZI, UJUZI hauandikwi UNATENDWA.Serikali itoe agizo kuwa wenye Divion 4 wasiruhusiwe kuendelea na elimu katika mfumo rasmi, warudie mitihani au wasiendelee na masomo kabisa
Mwisho iwe one ya 14.Serikali itoe agizo kuwa wenye Divion 4 wasiruhusiwe kuendelea na elimu katika mfumo rasmi, warudie mitihani au wasiendelee na masomo kabisa
Sasa biology ndo udaktari...Kweli mkuu yani ni upumbavu ulioje mtu anapata div four kisa ana vi D vinne anaenda kusoma clinical medicine au engineering...
Unakuta mgonjwa alifaulu vizuri biology kuliko daktari..
Kikawaida mtu akipata D uwezo wake kwenye somo husika ni mdogo kuliko kawaida mwenye D na F hawana utofaut
Hao wa Div 1 ukiondoa hizo A zao kuna kitu cha ziada walicho nacho? Mfano unaweza mchukua mwanafunzi kapara Div 1 umuweke mtaani asurvive? Mdio mnajidanganya kwamba ukipata Div 1 basi una akili ya kuubda hata chombo cha kwenda mweziniSerikali itoe agizo kuwa wenye Divion 4 wasiruhusiwe kuendelea na elimu katika mfumo rasmi, warudie mitihani au wasiendelee na masomo kabisa