John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 377
- 1,412
Hana uo uwezo.
Wazo zuriTanzania tumieni hii nafasi muwaambie watu wetu waliopo huko mapema,wenye intelijensia za ukweli wameona mbali,sasa mnasubiri mambo yawe magumu ndio kina Mulamula waanze matamko ya 'kuwa watulivu serikali inafanyia kazi'.
Sio lazima kitu kizito kiwe kombola!!unaweza ukabanwa kiuchumi ukaona ni bora tu ungepigwa hata kombola!!Hana uo uwezo.
Hakuna kitu hicho mzee. Russia siyo TandahimbaSio lazima kitu kizito kiwe kombola!!unaweza ukabanwa kiuchumi ukaona ni bora tu ungepigwa hata kombola!!
Kwa hiyo muda woote huu walikuwa bado wapo Russia? au ni muendelezo wa propaganda ππSerikali ya Ufaransa imewataka raia wake kuondoka Nchini Urusi kutokana na mashambulizi yakijeshi yanayoendelea kwa jeshi la taifa hilo dhidi ya Ukraine.
Serikali za mataifa mengine nazo zimeshatoa tangazo la kuwaondoa raia wake nchini humo ikiwemo Uingereza kutokana na vikwazo ambavyo vimekuwa vikiendelea kuwekwa kwa Urusi kutoka mataifa mbalimbali.
Marekani nayo ilitoa ushauri huo kwa raia wake kuondoka Urusi kwa kuwa hakuna dalili za usalama kuendelea kuwepo nchini humo.
Source: bbc
=========================================
France asks citizens to leave Russia
The French government is telling its citizens to leave Russia in light of the escalating conflict if their presence there is not "essential".
Other countries have similar travel advisories in place.
The UK Foreign Office "advises against all travel to the whole of Russia" due to difficulties in leaving the country and what it describes as the "increased volatility" of the Russian economy.
The US State Department is advising the same. It cites multiple factors including "the potential for harassment against US citizens by Russian government security officials".
Kuishambulia urusi ni kifo
Unafkiri haogopi kubakwa bila mafuta na waeskimo
baelezee baelezee balakini batabishaππππππSio lazima kitu kizito kiwe kombola!!unaweza ukabanwa kiuchumi ukaona ni bora tu ungepigwa hata kombola!!
Inazidiwa kiuchumi hata na South Korea, sasa hao nao ni wa kumtambia nani. Baada ya hivyo vikwazo kushika kasi watakuwa kama sisi.Hakuna kitu hicho mzee. Russia siyo Tandahimba
This is a fake news. Redio mbao naona sasa zimezidi humu kwenye jukwaa.Baada ya Romania kutunguliwa ndege zake kama maembe NATO wameona moto utawaka ulaya.
Watatuzidi majengo mazuri tuInazidiwa kiuchumi hata na South Korea, sasa hao nao ni wa kumtambia nani. Baada ya hivyo vikwazo kushika kasi watakuwa kama sisi.
Kwahiyo unataka kusema nini!?Inazidiwa kiuchumi hata na South Korea, sasa hao nao ni wa kumtambia nani. Baada ya hivyo vikwazo kushika kasi watakuwa kama sisi.
Kuishambulia urusi ni kifo
We unahisi kwanini wamekimbilia kwenye vikwazo? Ingekua nchi legelege Leo hii Marekani na wenzie wangekua washaishamabulia