Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,183
- 2,100
Mwenyeji wako akikimbia wewe mgeni utakaa hapo kusubiri nini?Hamna cha bure.......wamebaniwa kuiba wamesusa
Kumsubiri mrusiMwenyeji wako akikimbia wewe mgeni utakaa hapo kusubiri nini?
Mali wanajiingiza choo cha kike , hawajifunz kwa Ukraine , Urusi sio wa kuzoea , anataka uwe rafik yake tu na hata siasa zako zianzie Moscow , ukipindua unakuwa umeyaoga mazima , Ingekuwa kinyume Ufaransa ndo anapata Ushawish nchi Mali na Urusi ndo anapoteza Ushawish nchini Mali , Urusi asingetoka kirahis mpk vita ingetokea ila Ufaransa anajiondoa kwa aman ila anasitisha misaada yake kwenda MaliNi baada ya kukamilisha hatua yake ya kukomesha uwepo wake wa kijeshi wa miaka 10 nchini humo na kuishutumu Mali kuwa na Ushirikiano na Kundi la Wagner linalosemekana kuwa mamluki wa Russia
Hatua hiyo inatajwa kuhatarisha makumi ya miradi ya maendeleo ambayo inaendelea au iliyopangwa nchini humo katika miaka ijayo
Kusimamishwa huko kunakuja huku kukiwa na ongezeko la kutengwa kwa Mali na Nchi nyingine, baada ya Uingereza kutangaza itawaondoa Wanajeshi wake 300 wa kulinda amani kutokana na ushirikiano wake na Urusi
.................
France has suspended development assistance to Mali after finalising its move to end its 10-year military presence in the country, a foreign ministry source told the AFP news agency.
French media quoted the foreign affairs ministry as saying it had suspended aid over "the attitude of the Malian junta allied to the Russian Wagner mercenaries".
The decision was said to have been taken "two to three weeks ago".
A group of French NGOs are said to have denounced the decision in a letter sent to President Emmanuel Macron on Tuesday, calling on him to review the position.
According to the NGOs, the suspension of aid jeopardises dozens of development projects that are under way or planned in the country over the coming years.
This suspension comes amid the increasing isolation of Mali.
The UK on Monday said it would withdraw its 300 troops deployed in support of the UN peacekeeping mission there over the junta's partnership with the Russian group Wagner.
Chanzo: BBC
sasa hv mnamkaribisha Urusi , Hii inaonesha waafrika hawakukamilika kweny uumbwaj waoNchi nyingi za AFRIKA zimeshindwa kujitawala kwa sababu ya Ufaransa na washirika wake.
Waafrika wamejifunza kwa wakoloni mambo leo wafaransa na wenzao wa magharibi acha wafate upepo mwingine kwa sasa,,ushetani wa huko sio wa kuhadithia kila mtu kajioneaMali wanajiingiza choo cha kike , hawajifunz kwa Ukraine , Urusi sio wa kuzoea , anataka uwe rafik yake tu na hata siasa zako zianzie Moscow , ukipindua unakuwa umeyaoga mazima , Ingekuwa kinyume Ufaransa ndo anapata Ushawish nchi Mali na Urusi ndo anapoteza Ushawish nchini Mali , Urusi asingetoka kirahis mpk vita ingetokea ila Ufaransa anajiondoa kwa aman ila anasitisha misaada yake kwenda Mali
Uchumi mkubwa wa Ufaransa umechangiwa kwa % kubwa na wizi walioufanya Afrika. Na kote Ufaransa alipopita hakuna sehemu yenye amani ya kudumu.Mali wanajiingiza choo cha kike , hawajifunz kwa Ukraine , Urusi sio wa kuzoea , anataka uwe rafik yake tu na hata siasa zako zianzie Moscow , ukipindua unakuwa umeyaoga mazima , Ingekuwa kinyume Ufaransa ndo anapata Ushawish nchi Mali na Urusi ndo anapoteza Ushawish nchini Mali , Urusi asingetoka kirahis mpk vita ingetokea ila Ufaransa anajiondoa kwa aman ila anasitisha misaada yake kwenda Mali
hizi ni hoja za kipuuz , maliasili ipo nchini mwako anufaike mwingine wa mbali huoni kuwa "MAARIFA YAO WAFARANSA NDO YAMEINUFAISHA UFARANSA ? "Uchumi mkubwa wa Ufaransa umechangiwa kwa % kubwa na wizi walioufanya Afrika. Na kote Ufaransa alipopita hakuna sehemu yenye amani ya kudumu.
duh kuwa mahaba yanakufanya usione mabaya , nmegonga madem kibao wenye akili km zako , yaan unagombana na bwana unajitupa mtaan yoyote atakae kuzoea unaenda nae kula tunda kimasiara maumiv yanakuja mwisho unakumbuka baadae km Ukraine anavyojutia kuwa sehem ya uzombi wa usoviet leo inamtesa sana , Mali anajosogeza mdo mdoWaafrika wamejifunza kwa wakoloni mambo leo wafaransa na wenzao wa magharibi acha wafate upepo mwingine kwa sasa,,ushetani wa huko sio wa kuhadithia kila mtu kajionea
Kwa akili zako hizo. Kwa heri.hizi ni hoja za kipuuz , maliasili ipo nchini mwako anufaike mwingine wa mbali huoni kuwa "MAARIFA YAO WAFARANSA NDO YAMEINUFAISHA UFARANSA ? "
Mwizi ni mwizi tu haijalishi ametumia maarifa au nguvuhizi ni hoja za kipuuz , maliasili ipo nchini mwako anufaike mwingine wa mbali huoni kuwa "MAARIFA YAO WAFARANSA NDO YAMEINUFAISHA UFARANSA ? "
Hahaa blaza mbona unaumia sana huu ndo muda wa multipolar world,,,ushenzi wenu wa unipolar wa kimagharibi ndo mwisho wake sasaduh kuwa mahaba yanakufanya usione mabaya , nmegonga madem kibao wenye akili km zako , yaan unagombana na bwana unajitupa mtaan yoyote atakae kuzoea unaenda nae kula tunda kimasiara maumiv yanakuja mwisho unakumbuka baadae km Ukraine anavyojutia kuwa sehem ya uzombi wa usoviet leo inamtesa sana , Mali anajosogeza mdo mdo
Akili kisoda hata ktk kipimo cha brainometer haziwez kua detectedhizi ni hoja za kipuuz , maliasili ipo nchini mwako anufaike mwingine wa mbali huoni kuwa "MAARIFA YAO WAFARANSA NDO YAMEINUFAISHA UFARANSA ? "