watapigana tu,we subiri utaona,kumbuka huo umoja ndo ulikuwa unawafanya wajione wao ni ndugu.
Kwa upande wa NATO si ulisikia waziri mkuu wa ujerumani akiwalaumu kwa kuwa na sera za uhasama dhidi ya russia majuzi,
huko nako ujerumani anaweza kuamua kujitoa
Switzerland hawapo kwenye EU, wapo kwenye Schengen.Hizi nchi tajiri wananchi wake wanachukia EU kwa sababu ya migrants kutoka Europe mashariki, wananchi wamechech oka,kwa hizo nchi tajiri ikipitishwa referendum wote watavote kutoka, ulaya mashariki peke yao ndo watavote kubaki ,