Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,123
- 93,236
Pole Sana Kwa Unayoyapitia
Tuliza Mawazo Halafu Ndiyo Utakuwa Sawa Sawa
Watoto Unamtoa English Medium Wakati Huu Ama Ada Shi
Ndoa hatukufunga tulikua tunaishi tu...poa mimi ndio nimechoka na matendo yake nikaamua kuondoka tu nawatotoPole sana hata hivyo hujaweka wazi namna mlivovunja hiyo ndoa!
Kwamba ni wewe umechukua tu uamuzi wa kuondoka kwake au ni yeye kaleta vurugu na kukufukuza nyumbani? Vipi mmeshashirikisha ndugu kujaribu kuwaweka sawa? Kama hamkuachana kwa kuvunjia ndoa mahakamani, huyo bado ni mumeo na vilevile ukumbuke mkiachana kiholela kwa kukimbiana au kufuzana tu hapo ni rahisi wewe na watoto kuzikosa haki zenu!
Kama mtaachana kwa kuvunja ndoa mahakamani hapo lazima mambo yafuatayo yafanyike-
1.Mahakama lazima izigawe mali zote mlizochuma pamoja ktk maisha ya ndoa yenu, hapo utagawiwa 30% au 50%, ratio itategemea ulichangia vipi. Kwa hizo nyingine unazosema ni za kwako mwenyewe itatemea na namna utakavyoweza kuithibitishia mahakama kwa kutumia ama risit au mikataba ya manunuzi, ukiwa navyo hivyo mali zako utapewa zote, plus mgao wa zile mlizochuma pamoja.
2.Kama watoto wote ni wa kwake atawajibika kutoa pesa ya matunzo na gharama za masomo wala huna haja ya kumuhamishia mtoto shule za kawaida labda tu kama unahamia mkoa mwingine au mbali na shule yake.
Aidha nakushauri ujipe muda wa kufikiri kwa utulivu lakini pia ukitafakari shughuli ya kufanya maana hiyo pesa mkononi ukikaa muda mrefu kwa gharama za sasa za maisha utabaki na vichele tu!
Nyie mnaoshupalia aende ustawi wa jamii mna uhakika gani kama hao watoto ni wa huyo mwanaume?Cha msingi na Hakika nenda ustawi wa jamii kwanza wakupe tafsiri ya seke seke lote. Kama mlikua na ndoa na mmetofautiana jamaa atatakiwa ahudumie watoto, kama mlijenga nyumba ni ya watoto
Ok, lakini kupewa haki na mahakama sio lazima muwe mmefunga ndoa, isipokuwa muwe mmeishi pamoja angalau kipindi cha miaka 3, hiyo inahesabika ni ndoa na haki zako unapewa!Ndoa hatukufunga tulikua tunaishi tu...poa mimi ndio nimechoka na matendo yake nikaamua kuondoka tu nawatoto
Simu nuksi zimeshavunja mahusiano kibao mwanamke au mwanaume ukitaka matatizo endelea kupekua simu ya mwenza wako.Ok, lakini kupewa haki na mahakama sio lazima muwe mmefunga ndoa, isipokuwa muwe mmeishi pamoja angalau kipindi cha miaka 3, hiyo inahesabika ni ndoa na haki zako unapewa!
Kweli kabisa mkuu, sema wivu wengine wanashindwa kuvumilia hasa kama yeye anaenzi uaminifu!Simu nuksi zimeshavunja mahusiano kibao mwanamke au mwanaume ukitaka matatizo endelea kupekua simu ya mwenza wako.
Mleta mada nakushauri punguza wivu rudi mkalee watoto u-single mother mgumu heshima yako inapungua swala la jamaa kutowajibika kitandani dawa unayo mwenyewe usirudie kupekua simu yake nae hatashika simu yako.Kweli kabisa mkuu, sema wivu wengine wanashindwa kuvumilia hasa kama yeye anaenzi uaminifu!
Mtetee huyu mdau kama unavyomtetea Jackline MengiTendo la ndoa hakuna hao watoto umewapataje
Ukiwa kwenuNaj
Najipa muda nikiwa wapi?
Ushauri wa hivi haujengi umekaa ki kukata tamaa kabisa, amani ya moyo ni muhimu hivi huwa mnawaza hao watu wakiuana mnapata raha gani? Acheni basi dah!! Kuzaliwa mwanamke ktk hili bara yahitaji ushupavu sanaMleta mada nakushauri rudi kwa mme wako uku mtaani vijana watakuchakaza sana na kamwe hutaolewa hakuna mtu mkamilifu punguza jabza rudi kwa mmeo utakuja kunishukuru nakuambia
Heshima yake ipungue kwa sababu gani?Mleta mada nakushauri punguza wivu rudi mkalee watoto u-single mother mgumu heshima yako inapungua swala la jamaa kutowajibika kitandani dawa unayo mwenyewe usirudie kupekua simu yake nae hatashika simu yako.