Gene da beauty
JF-Expert Member
- Apr 18, 2017
- 446
- 830
Habarini wakuu
Nina mdgo wangu ni mjamzito wa miezi 7. Sasa katika stori zetu akaja na hili suala jipya kwangu kuwa yeye na mumewe wamekuwa addicted sana kwenye kufanya sex yaani toka mimba ina mwezi 1 hadi sasa ina miezi 7 wanasex maradufu kuliko kawaida!!!
Swali lake likaja hapa hakuna tatizo lolote lolote la kiafya linaweza mpata yeye kama yeye??au kiumbe kilichopo tumboni kwasababu wanafanya hawatumii kinga kwa hiyo mzee anamuvuzishia zigo ndani!! Sasa zile manii hazina tatizo ziingiapo zizini!??
Kwa upande wake anasema anatamani mda wote awe na dad kijacho wake maana hachoki wala haoni kero mtalimbo ukiwa ndani all da time vivyo hvyo kwa mwanaume wake; Sema kwa sasa wasiwasi wake upo hapo kwa ujiuji kubaki ndani icje mletea madhara baadae!!
Hivyo anahitaji ushauri kwa wanaofahamu hili kama vipi waache mapema kabla hawajatengeneza Bomu!!!!Na kama hamna tatizo anasema kwa wanavyofeel wate wawili ngoma itastop siku anaingia leba !!hapo ilibid nicheke tu badala ya kumhurumia!!
Nawasilisha!!!!