Ufanisi wangu kitandani umepungua. Je, nitumie mbinu gani kurudisha uwezo wangu?

Pole sana,Mwenye kumsaidia itakuwa poa sana kwani aibu aipatayo hapo itakuwa ni kama kwa wanaume wote tutadharaulika,msaidiane jamani kijana mwenzetu
 
Mara nyingi hii hali inaambatana na aina ya maisha.kadri umri unavyosonga majukumu na msongo wa mawazo vinaongezeka kwa kiwango kikubwa.
Hivyo ufanisi wa tendo hupungua siku hadi siku,Tendo la ndoa lahitaji utulivu wa akili kwa kiasi kikubwa.Hvyo kutatua changamoto yako badili aina ya milo unayokula. Tumia tangawizi,kitunguu swaumu,fanya mazoezi walau dakika 30 kila siku.Utaona mabadiliko ukiwa consistent.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuna tangawizi +mazoezi ya kukimbia ambayo hushtua kila sehemu ya mwili.Utakuja nishukuru baadaye.

5/5
 
Habari za saa hizi wakuu?

Jamani mficha maradhi kifo humuumbua. Mimi nina mke na mtoto mmoja. Kipindi cha nyuma nilikuwa vizuri sana bed, nilikuwa nikipanda kiunoni mwa mwanamke ni mpaka mwenyewe alikuwa anaomba poo.

Miezi ya hivi karibuni nimejikuta ufanisi wangu wa bed umeshuka sana, inaweza ikapita hata wiki sijamgusa wife na siku nikimgusa basi ni kagoli kamoja tu nakuwa niko hoi.

Sasa juzi kati hapa nimeaibika sana, kuna kibinti cha jirani nilikipanga kikanielewa. Siku naenda kukigonga dudu yangu ikakataa kabisa kusimama.

Wakuu hili suala kabla halijawa gumu zaidi, nawaomba mnisaidie either dawa or mbinu itakayonisaidia kurudisha heshima yangu ya kitandani.

Asanteni sana nyote.

Habari ndugu,
Wadau wamechangia mengi na ni ya mhimu.
Binafsi, nitapenda kuchangia ingawa nitakuwa nafanya kama majumuisho.
1: Ili kujua chanzo cha tatizo ni vyema kujifanyia tathimini ya ni nini kimebadilika kwenye mfumo wako wa maisha.
Hii inaweza kuwa ni Ugumu wa kipato (msongo wa mawazo), mahusiano yasiyoridhisha (mawasiliano si mazuri), utendaji wa kazi(msongo wa mawazo kutona na kazi nyingi au ngumu kutimiza malengo), kuwa na wazo lolote hasi dhidi yako au mkeo na maisha kwa ujumla.

2: Tafuta ufumbuzi wa lolote katika utakachogundua hapo juu. Hii itawezekana kwa kufanya kwa njia ambayo utaona ni mwafaka kulingana na tatizo husika.

3: Jitahidi kupata lishe bora. Maana yake upate chakula chenye: Protini(hasa ya mimea/jamii ya kunde), wanga, mboga za majani, matunda kwa wingi pamoja na kunywa maji zaidi ya lita moja na nusu au zaidi kwa siku.

4: Pata mda mzuri wa kupumzika.

5: Fanya mazoezi/aerobic mara tatu au zaidi kwa wiki na iwe si chini ya nusu saa.

6: Usitumie dawa yoyote ambayo ni ya kuongeza nguvu/kubusti, kwani itakusaidia kwa mda mfupi na hali itakuwa mbaya zaidi.

7: Punguza hofu, kwani ukienda vitani ukiwa na hofu ni mwanzo wa kushindwa vita na hii inawezekana ndo kilichokukumba ulipotaka kwenda nje ya mfumo wako. Kwani utakuwa na hofu mara mbili moja kama utaweza kweli na mbili ni mfumo mpya wa kimaisha/kuiba nje ya mfumo wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom