Ufanisi wangu kitandani umepungua. Je, nitumie mbinu gani kurudisha uwezo wangu?

kyanyangwe

Member
Oct 31, 2018
77
150
Habari za saa hizi wakuu?

Jamani mficha maradhi kifo humuumbua. Mimi nina mke na mtoto mmoja. Kipindi cha nyuma nilikuwa vizuri sana bed, nilikuwa nikipanda kiunoni mwa mwanamke ni mpaka mwenyewe alikuwa anaomba poo.

Miezi ya hivi karibuni nimejikuta ufanisi wangu wa bed umeshuka sana, inaweza ikapita hata wiki sijamgusa wife na siku nikimgusa basi ni kagoli kamoja tu nakuwa niko hoi.

Sasa juzi kati hapa nimeaibika sana, kuna kibinti cha jirani nilikipanga kikanielewa. Siku naenda kukigonga dudu yangu ikakataa kabisa kusimama.

Wakuu hili suala kabla halijawa gumu zaidi, nawaomba mnisaidie either dawa or mbinu itakayonisaidia kurudisha heshima yangu ya kitandani.

Asanteni sana nyote.
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
11,352
2,000
mawazo unayo kibao, hela huna, Corona imetufungia pia km hako kabinti kamekukubalia kukumegea ghafla bila ajizi lazima mshangao wa kwanza tu haitasimama
inatakiwa kagomegome kwani hata viumbe km kuku mbuzi nk wanagomewa kwanza
 
Ng'wanamalundi

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
503
1,000
Ni dhahiri hilo lilikuwa onyo kwako kuachana na vibinti vidogodogo vya wenzako wakati una mke na mtoto! Tatizo likijitokeza kwa mke wako hapo ndipo ulilete hapa.
 
Mar 11, 2020
17
45
Habari za saa hizi wakuu?

Jamani mficha maradhi kifo humuumbua. Mimi nina mke na mtoto mmoja. Kipindi cha nyuma nilikuwa vizuri sana bed, nilikuwa nikipanda kiunoni mwa mwanamke ni mpaka mwenyewe alikuwa anaomba poo.

Miezi ya hivi karibuni nimejikuta ufanisi wangu wa bed umeshuka sana, inaweza ikapita hata wiki sijamgusa wife na siku nikimgusa basi ni kagoli kamoja tu nakuwa niko hoi.

Sasa juzi kati hapa nimeaibika sana, kuna kibinti cha jirani nilikipanga kikanielewa. Siku naenda kukigonga dudu yangu ikakataa kabisa kusimama.

Wakuu hili suala kabla halijawa gumu zaidi, nawaomba mnisaidie either dawa or mbinu itakayonisaidia kurudisha heshima yangu ya kitandani.

Asanteni sana nyote.
Fanya mazoezi kunywa maji mengi kabla hajaanza kugawa nje

Akianza na akapata mwamba msuguaji mzuri bro nakuapia utakufa kwa stress

Anza leo mazoezi nusu saa asubuhi na jioni kila siku

Achana na junk food Achana na sukari kunywa chai ya asali na tangawizi mwezi wa nne tar 15 njoo unishukuru..pia mtafute
Mzizi mkavu anayomengi yakusema

Niliyosema mimi ni yale ninayajua sababu ilishanitokea nikasahuriwa nikapona

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
BRO LEE

JF-Expert Member
Dec 25, 2011
727
500
Habari za saa hizi wakuu?

Jamani mficha maradhi kifo humuumbua. Mimi nina mke na mtoto mmoja. Kipindi cha nyuma nilikuwa vizuri sana bed, nilikuwa nikipanda kiunoni mwa mwanamke ni mpaka mwenyewe alikuwa anaomba poo.

Miezi ya hivi karibuni nimejikuta ufanisi wangu wa bed umeshuka sana, inaweza ikapita hata wiki sijamgusa wife na siku nikimgusa basi ni kagoli kamoja tu nakuwa niko hoi.

Sasa juzi kati hapa nimeaibika sana, kuna kibinti cha jirani nilikipanga kikanielewa. Siku naenda kukigonga dudu yangu ikakataa kabisa kusimama.

Wakuu hili suala kabla halijawa gumu zaidi, nawaomba mnisaidie either dawa or mbinu itakayonisaidia kurudisha heshima yangu ya kitandani.

Asanteni sana nyote.
Km huna msongo wa mawazo huenda una tatizo la kulegea mishipa ya nyonga.

Unatakiwa mazoezi ya Kegel. Yanaleta matokeo chanya sana iwapo utazingatia.
 
Chrismoris

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
13,205
2,000
Habari za saa hizi wakuu?

Jamani mficha maradhi kifo humuumbua. Mimi nina mke na mtoto mmoja. Kipindi cha nyuma nilikuwa vizuri sana bed, nilikuwa nikipanda kiunoni mwa mwanamke ni mpaka mwenyewe alikuwa anaomba poo.

Miezi ya hivi karibuni nimejikuta ufanisi wangu wa bed umeshuka sana, inaweza ikapita hata wiki sijamgusa wife na siku nikimgusa basi ni kagoli kamoja tu nakuwa niko hoi.

Sasa juzi kati hapa nimeaibika sana, kuna kibinti cha jirani nilikipanga kikanielewa. Siku naenda kukigonga dudu yangu ikakataa kabisa kusimama.

Wakuu hili suala kabla halijawa gumu zaidi, nawaomba mnisaidie either dawa or mbinu itakayonisaidia kurudisha heshima yangu ya kitandani.

Asanteni sana nyote.
Punguza minyama nyama na bia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom