kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,147
- 2,746
Habari za saa hizi wakuu?
Jamani mficha maradhi kifo humuumbua. Mimi nina mke na mtoto mmoja. Kipindi cha nyuma nilikuwa vizuri sana bed, nilikuwa nikipanda kiunoni mwa mwanamke ni mpaka mwenyewe alikuwa anaomba poo.
Miezi ya hivi karibuni nimejikuta ufanisi wangu wa bed umeshuka sana, inaweza ikapita hata wiki sijamgusa wife na siku nikimgusa basi ni kagoli kamoja tu nakuwa niko hoi.
Sasa juzi kati hapa nimeaibika sana, kuna kibinti cha jirani nilikipanga kikanielewa. Siku naenda kukigonga dudu yangu ikakataa kabisa kusimama.
Wakuu hili suala kabla halijawa gumu zaidi, nawaomba mnisaidie either dawa or mbinu itakayonisaidia kurudisha heshima yangu ya kitandani.
Asanteni sana nyote.
Km huna msongo wa mawazo huenda una tatizo la kulegea mishipa ya nyonga.Habari za saa hizi wakuu?
Jamani mficha maradhi kifo humuumbua. Mimi nina mke na mtoto mmoja. Kipindi cha nyuma nilikuwa vizuri sana bed, nilikuwa nikipanda kiunoni mwa mwanamke ni mpaka mwenyewe alikuwa anaomba poo.
Miezi ya hivi karibuni nimejikuta ufanisi wangu wa bed umeshuka sana, inaweza ikapita hata wiki sijamgusa wife na siku nikimgusa basi ni kagoli kamoja tu nakuwa niko hoi.
Sasa juzi kati hapa nimeaibika sana, kuna kibinti cha jirani nilikipanga kikanielewa. Siku naenda kukigonga dudu yangu ikakataa kabisa kusimama.
Wakuu hili suala kabla halijawa gumu zaidi, nawaomba mnisaidie either dawa or mbinu itakayonisaidia kurudisha heshima yangu ya kitandani.
Asanteni sana nyote.
Punguza minyama nyama na biaHabari za saa hizi wakuu?

Wewe umeshawahi kuitumia ?
Faida yake ni nn nimeona picha tu za hayo mazoeziUnatakiwa mazoezi ya Kegel. Yanaleta matokeo chanya sana iwapo utazingatia.
Kuimarisha misuli ya nyonga ambayo ndo ina control mzunguko wa damu kwenda kwenye kiume. Misuli hiyo km imelegea unaweza kusimamisha na kisha wakati wa ku du kitu kinalala ghafla au ndo haisimami kabisaFaida yake ni nn nimeona picha tu za hayo mazoezi
Shukhrani BrKuimarisha misuli ya nyonga ambayo ndo ina control mzunguko wa damu kwenda kwenye kiume. Misuli hiyo km imelegea unaweza kusimamisha na kisha wakati wa ku du kitu kinalala ghafla au ndo haisimami kabisa