KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 26,213
- 56,849
Namna ya maamuzi yako,uwezo wako wa kufikiri,imani na baadhi ya matendo yako,tambua kuwa hayo yote yanajengwa na ujazo wa ufahamu wako!.
Mazingira uliyokuwepo na uliyopo yamechangia na yanachangia vikubwa kwa mjengeko wa ufahamu wako.
ukiwa kama mzazi unafikiri nini kwa mtoto wako..?