Ms mashaba
Member
- Dec 28, 2011
- 43
- 4
Wandugu, channel za tv yangu zimepotea ghafla, zikiwemo za tz. Kati ya channel 92 zinebaki 27. Natumia dish 6ft.
Wandugu, channel za tv yangu zimepotea ghafla, zikiwemo za tz. Kati ya channel 92 zinebaki 27. Natumia dish 6ft.
wow nimefanikisha. thank u in deedjaribu hii angalia kwenye rimot bonyeza kitufe kilichoandikwa sat.halafu weka hapo kwenye ,,all satelait.
here i amukifanikiwa unarudi kutoa taarifa