Ufahamu mgogoro wa BREXIT

Umefanya vyema sana mkuu kuileta huku sema siku nyingine uwe unaandika kwamba umecopy na kupaste mkuu, sio lazima ionekane kwamba wewe ndio mwandishi wakati sio kweli... Haitakupunguzia credit.
Amecopy wapi
 
Uchambuzi Murua sana, ila Brexit imechagizwa sana na watu wa mfumo wa siasa za mrengo wa kulia ngoja tuone ngoma itaishaje.
 
Asante mkuu nimekuelewa
 
ilifikia hatua nilikuwa naona habari CNN au BBC , neno BREXIT tu lilitajwa au kuonekana na-lose concentration maana nilikuwa sielewi kitu.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]big up kwa maelezo yanayojitosheleza...
 
Mkuu umetumia fasihi nzuri mno kutujuza kuhusu BREXIT...barikiwa sana...
 
Umefanya vyema sana mkuu kuileta huku sema siku nyingine uwe unaandika kwamba umecopy na kupaste mkuu, sio lazima ionekane kwamba wewe ndio mwandishi wakati sio kweli... Haitakupunguzia credit.
.............Wewe na roho yako mbaya umejihakikishia vipi kwamba huyo aliyeandika haya makala huko ulikoyasoma siyo huyu aliyeandika humu hadi umtake atoe credit kwa mwandishi unayemjenga wewe kichwani mwako?

Hapa tunatumia fake IDs ulitaka huko kwenye gazeti au sijui Facebook ukutane na jina kama Falcon Mombasa ndo uamini ni yeye siyo?well na mbona wewe huja-copy ukaleta humu kama siyo huyu jamaa ku-copy na kuleta hapa sisi wengine tungejuaje?

Sometimes hata wewe mwenyewe umesha-copy na kupeleka unakojulikana saizi unavuna tu sifa zisizokuwa zako.
 
Hizi ndio thread sasa, zile nyingine ni nyuzi
 
Asante kwa kuiweka hii kitu vizuri namna hii.

Ukiangalia tabia za huyu mke mtata, utagundua zinashabihiana sana na talaka rejea inayotaka kutokea Afrika mashariki.

Kuna huyo mke wa upande huu wa EA, ambae alikua house girl wa huyo mke mtata wa EU nae huku mbwembwe kibao kwy taraka rejea.

Muda wote anafikiria ni mzuri zaidi na ataibiwa vijisenti vyake wakati kiuhalisia kesha pigwa sana hata kabla ya kurejea mfano ni kwy Madini, Biashara, teknolojia, usafiri, elimu na mengine mengi tu.

Yeye ambacho amedumu nacho ilikua ni amani tu na kidooogo demokrasia ingawa kwa mshangao mkubwa, eti ameanza kuiga tabia za kibint kidogo sana kwake katika suala la amani na demokrasia....pamoja na bint huyo kubakwa vibaya huko nyuma, yeye eti anaiga sasa - vichekesho.

Naona kuna siku hawa wanao mzunguka wataamua kusonga mbele na kuachana nae na maringo yake, hapo ndio akili itamkaa sawa.

Yeye kila siku nikulalamika anaibiwa ilhali huo wizi aliuidhinisha mwenyewe huko nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…