NIMELAZIMIKA KUCOMMENT....UNA BAHATI:
USIJISUMBUE KUSOMA HIYO KOZI HAPA TANZANIA...KAMA UNA HELA NENDA MAREKANI AU ULAYA. BINAFSI IMENICOST 5 YRS KUJA KUJUA HAKUNA MTU ANAYEJUA HAYO MAMBO AFRICA MASHARIKI NA KATI...NIMEJIFUNZA MWENYEWE...KAMA UNA PASSION NA HUNA HELA BASI IFANYE KUWA PERSONAL TUITION...YAANI JIFUNZE MWENYEWE KUPITIA YOUTUBE NA TORRENTS...though it's a long road, I wish I could be a Teacher...ningefundisha watu shortcuts.. TASNIA HIYO INABEBWA NA CREATIVITY/UBUNIFU WAKO...HAPO NI KIPAJI, PIA INABEBWA NA SOFTWARE (lazima umiliki Adobe = After Effects, Photoshop & the goddamn Illustrator...kumiliki namaanisha uzielewe haswaa na uzibobee), mchawi mwingine ni mzee baba AUTO DESK MAYA...huyu ndo HOLLYWOOD...mwingine ni kwa nyie watoto ni Cinema 4D....
UKISHINDWA KUTOFAUTISHA HIZO SOFTWARE UTAKUWA KWENYE HATARI YA KUJIKUTA Mchora ramani/3D guy, Motion designer etc na utashindwa kuajirika...PIA INAHITAJI UWE FOCUSED, USIFANYE LOLOTE ILI UJE KUWA THE BEST.
PIA KAMPUNI KUBWA HOLLYWOOD NA WATENGENEZA MOVIE, EFFECTS kama vile VideoCopilot ni programmers..yaani wanacode Software wao wenyewe kwaajili ya kazi flani, mfano movie ya Avatar. Hivyo lazima uwe focused kweli kweli...either uwe Programmer, Modeller, Designer, Effects Designer, Sound Designer, Graphic Designer, Producer au Script writer etc.
UKIONA TV NA MATANGAZO YANA ANIMATION ETC KALIKALI UJUE EITHER NI WAHINDI AU FREELANCERS....KAZI HIYO NI KAMA YA MPIGA PICHA,.....UNA PATA FAIDA KAMA UNA STUDIO YAKO MWENYEWE.
NAMSHUKURU MUNGU NIMEPAMBANA NA KUJARIBU KOTE HADI NIKAISHIA KWENDA CHUO KIKUU CHA NAIROBI KUCHUKUA DEGREE YA MULTIMEDIA, ila kwasasa nimeamua nitulie...nimeajiriwa kama BRAND SPECIALIST.
nitafute hapa kwa ushauri zaidi:
allanedson2000@gmail.com