Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,515
- 42,646
Duh mkuu are you serious? November hii? Wapi huko?Bei inabadilika badilika sana. Kwa sasa roba moja ni sh elfu 30-40.
Duh mkuu are you serious? November hii? Wapi huko?Bei inabadilika badilika sana. Kwa sasa roba moja ni sh elfu 30-40.
Kigogo Sambusa nimeuza kama wiki mbili zilizopita. Kwani vipi?Duh mkuu are you serious? November hii? Wapi huko?
Kigogo Sambusa nimeuza kama wiki mbili zilizopita. Kwani vipi?
Mkuu, Kibiti pilipili inastawi vizuri?Mie mkuu nipo kibiti.
Kigogo Sambusa nimeuza kama wiki mbili zilizopita. Kwani vipi?
Hivi soko hasa la hii kitu ni wapi?Kiongozi vpi shambani huko kuna kwendaje??
Mie nalima mkuu, niko Mbezi ya KimaraNani anaelima?
Hapana kiongozi huu ni mwingine. Ila ule upo tayari mwezi ujao naanza kuuza. Nitakuandikia email tuwasiliane zaidi.Kiongozi ule nzigo wetu uleule tuliopanda umeanza kuuza au huu NI mwingine?? Hongera Sanaa..
Hapana kiongozi huu ni mwingine. Ila ule upo tayari mwezi ujao naanza kuuza. Nitakuandikia email tuwasiliane zaidi.