Ufafanuzi

Ufafanuzi

hamicbaja

Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
97
Reaction score
22
Habari za wakati jamaa na marafiki..

Mimi nilikuwa naomba ufafanuzi juu ya swala la Android ,Window phone , IOS na mengineyo
kiukweli hayo maswala Mimi binafsi huwaga siwezi kutofautisha..
 
Hizo zote ni operating system. Android ipo kwenye simu nyingi za samsung, tecno, huawei smartphones. Windows ipo kwenye simu za nokia hasa hasa lumia. Ios ni simu zote za iphone na ipads
 
...Smsung, tecno, na nyngne zinazofanana na hizo
 
Back
Top Bottom