Ufafanuzi zaidi kuhusu kozi ya Law enforcement

UNEMPLOYYED

Senior Member
Jan 29, 2017
116
47
Wakuu Mimi nimemaliza kidato cha sita 2016 HGL naitaji niende kusoma kozi ya Law enforcement so plz wakuu anaeilewa coz ii plz Masada naamini nitasaidiwa
 
Hapo mkuu upolisi tu ndio uhakika japokuwa unaweza ajiriwa PCCB

Pia wanachukuliwa freshers 20_30 inategemea
 
Je ? Nikiwa na , history C,kiswahili,B,na English, E, matokeo ya mwaka 2014 wanaweza kunichukua hii kozi ?
Hayo matokeo Mazur lakini si unajua Udsm wanaangalia division one kwa sana Pia na competitors wengine maana freshers wanachukuliwaga 20_30 na wengine wanakuwa askari na wanatakiwa wanafunzi 50 tu so changamoto iko hapo kwenye upinzani
 
Powa Mkuu, kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom