Mwenyekufahamu TABLET ya TECHNO au SIMSUNG nzuri unaangaliaje kama ni nzuri na inawezo wa kuprocess data kwa haraka? msaada jaman anaefahamu maana nataka ninunue!!
Na je ukinunua TABLET kwa mtu ni VIBAYA MPAKA DUKANI?

Chukua samsung.....vitu vya kuangalia ni aina ya processor/cpu ,RAM,internal memory na display size pamoja na battery size......kama ni kwa ajili ya kazi za kawaida .....kama ni mtumiaji wa kamera pia nayo iwe kigezo....kwa ushauri wangu kama budget yako ni nzuri kama 650k+ tafuta tab ya galaxy ya Tab S series huwa zina sifa nzuri na nyingi huwa zina zile touch pen....kama budget yako ni below 600k go for Tab 1,2,3 or 4 series lakini Android version nayo ni muhimu so tafuta tab4....huko kuna zenye sifa tofauti utapata kutokana na budget yako pia....lakini hizi unawezapata kuanzia 500k kama uko dar....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.