Kama unaufaulu wa mathematics physics na English unaweza soma kwa certificate ili badae uchukue diploma. Ila kwa certificate unaweza chukua computer engineering hapa utadili pia na computer maintenance ambapo principles zake unaweza kuzitumia pia hata kwenye vifaa vya kielectronic eg simu. Pia hizo kozi zote huwa zinamuingiliano hivyo unaweza soma certificate of computer engineering badae ukachukua diploma yoyote kati ya hizo tajwa hapo juu kwani tayari utakuwa ushaona mwelekeo halisi.