S sao Senior Member Joined Mar 12, 2013 Posts 165 Reaction score 195 Oct 28, 2013 #1 Naombeni Msaada wa kueleweshwa kuhusu Upendo wa Mungu! Hivi Mungu anatupenda wakati gani? Je anatupenda wakati tupo hai au ukishakufa? Maana nimekua nikihudhuria mazishi na kumsikia mchungaji/padre anamzungumzia marehemu sisi tulimpenda ila Mungu amempenda zaidi! Je Mungu anakupenda hadi ukiwa umekufa? Vipi pale mtu anaposema dah! aisee Namshukuru sana Mungu nimepona(sijafa) katika hii ajali! Je hapa Mungu anakua hajakupenda bado kwa sababau hujafa au? Naombeni ufafanuzi.
Naombeni Msaada wa kueleweshwa kuhusu Upendo wa Mungu! Hivi Mungu anatupenda wakati gani? Je anatupenda wakati tupo hai au ukishakufa? Maana nimekua nikihudhuria mazishi na kumsikia mchungaji/padre anamzungumzia marehemu sisi tulimpenda ila Mungu amempenda zaidi! Je Mungu anakupenda hadi ukiwa umekufa? Vipi pale mtu anaposema dah! aisee Namshukuru sana Mungu nimepona(sijafa) katika hii ajali! Je hapa Mungu anakua hajakupenda bado kwa sababau hujafa au? Naombeni ufafanuzi.
S Saom Member Joined Nov 27, 2011 Posts 5 Reaction score 0 Oct 28, 2013 #2 Mi napita watakuja wenyewe
I isotope JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 2,392 Reaction score 817 Oct 28, 2013 #3 Mungu anampenda binadamu tokea anapomuumba, maana Mungu anamuumba mtu ili amshirikishe maisha yake ya heri na baraka. Kwa hiyo Binadamu akiwa amekufa au yu hai, Mungu bado anampenda.
Mungu anampenda binadamu tokea anapomuumba, maana Mungu anamuumba mtu ili amshirikishe maisha yake ya heri na baraka. Kwa hiyo Binadamu akiwa amekufa au yu hai, Mungu bado anampenda.