Ufafanuzi: Sijaelewa hili la Mkuu kuwaomba Uturuki mkopo wa reli

Aliyeelielewa hiki atujuze... Tunafahamu kwamba China walikubali kutupa mkopo kujenga reli yetu.. Sasa hivi naangalia habari naona mkuu amemuomba tena raisi wa Uturuki mkopo kupitia bank ya Exim.
Ni bora waturuki, wachina ni wajinga mno kufanya nao biashara
.
Tazama Walivyo na tabia za ajabu tena wakiwa ndani ya nchi yetu, siwapendi kweli hawa watu
 
Aliyeelielewa hiki atujuze... Tunafahamu kwamba China walikubali kutupa mkopo kujenga reli yetu.. Sasa hivi naangalia habari naona mkuu amemuomba tena raisi wa Uturuki mkopo kupitia bank ya Exim.
Mchina anataka atoe mkopo.na kazi apewe yeye.daah
Hawa watu sio wazuri.yaani anakukopesha hela inarudi kwao.na bhado anakudai.
Nchi tajiri hii.
 
Labda walishindwana terms au kiwango kilichotolewa na China hakitoshi.

Morocco wao mradi umeisha kwa ushirika wa nchi tano na ndiyo treni itakayokuwa pengine ya kasi zaidi kwa Africa 321km/hr.
 
Kwahyo raisi wa Uturuki akasema ni small amount kujenga 400km+.... Au alisema its little amount mana mkuu asije akawa amemlisha maneno
 
Mchina anataka atoe mkopo.na kazi apewe yeye.daah
Hawa watu sio wazuri.yaani anakukopesha hela inarudi kwao.na bhado anakudai.
Nchi tajiri hii.

Kweli kabisa... ndio maana Mh. Rais hataki ujinga na wachina.. baada ya kuona masharti ya wachina ya kijinga, kaachana nao, sbb mchina anataka akupe mkopo, alafu yeye huyo huyo mchina unampa tenda ajenge, huu ni ujinga..!!

Safi sana Mh. Rais wangu..
 
Uganda na Rwanda baada ya kuona mambo yanasuasua wameamua kuelekeza nguvu SGR north corridor. Maamuzi mazuri hasa ukizingatia awamu ya kwanza SGR imekamilika- zaidi ya km 500 Mombasa hadi Nairobi.
 
Kweli kabisa... ndio maana Mh. Rais hataki ujinga na wachina.. baada ya kuona masharti ya wachina ya kijinga, kaachana nao, sbb mchina anataka akupe mkopo, alafu yeye huyo huyo mchina unampa tenda ajenge, huu ni ujinga..!!

Safi sana Mh. Rais wangu..
Unataka kwenda haraka! Waje kwanza na waanze,wakifikisha angalau nusu,ndo uongee hivyo.
 
Back
Top Bottom