Ufafanuzi receipt za efd

Zeddicus Zu'l Zorander

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
803
950
Imekuwa mara kwa mara nikinunua bidhaa napewa receipt ikionesha vat 0%,kwa vile nimeakuwa mzalendo kila ninaponunua bidhaa nipewe risit, naomba kueleshwa je hizi risit ambazo zinaonesha vat 0% je ni sawa? Au ni wizi? Na kama ni halali Tra wanapataje kodi yao?
Mfano leo nimeweka mafuta kwenye petrol station flani nikapewa risit hii..
1463153385219.jpg
 
mkuu mafuta yamekuwa exempted kwenye VAT, yaani zero value added tax
sio bidhaa zote zinachajiwa VAT.

Mafuta yalikuwa exempted kwa sheria ya kodi ya ongezeka la thamani ya mwaka 1997 (VAT Act, 1997) ambayo haitumiki tena kwa sasa tunatumia sheria ya kodi ya ongezeko la thamani ya mwaka 2014 (VAT Act 2014 ) ambayo tumeanza kuitumia mwaka jana

Hii sheria mpya (VAT Act 2014) haijatoa msamaha (exemption) kwa mafuta. Yanatakiwa kuwa VAT inclusive.

EFD receipt kama hiyo yenye 0% ni either kuna uhuni fulani unafanyika au hawaja-update system

Baadhi ya filling station kama Victoria kwa dsm receipt zao zina VAT
 
Hapo ushawachoma wenyewe,namba za mwisho hizo 03TZ842007086,Kufuta jina hapo haijasaidia
 
Mafuta yalikuwa exempted kwa sheria ya kodi ya ongezeka la thamani ya mwaka 1997 (VAT Act, 1997) ambayo haitumiki tena kwa sasa tunatumia sheria ya kodi ya ongezeko la thamani ya mwaka 2014 (VAT Act 2014 ) ambayo tumeanza kuitumia mwaka jana

Hii sheria mpya (VAT Act 2014) haijatoa msamaha (exemption) kwa mafuta. Yanatakiwa kuwa VAT inclusive.

EFD receipt kama hiyo yenye 0% ni either kuna uhuni fulani unafanyika au hawaja-update system

Baadhi ya filling station kama Victoria kwa dsm receipt zao zina VAT
Thanks kwa ufafanuzi mkuu,kama ni hivi basi bado tuna safari ndefu ya kukusanya kodi
 
Imekuwa mara kwa mara nikinunua bidhaa napewa receipt ikionesha vat 0%,kwa vile nimeakuwa mzalendo kila ninaponunua bidhaa nipewe risit, naomba kueleshwa je hizi risit ambazo zinaonesha vat 0% je ni sawa? Au ni wizi? Na kama ni halali Tra wanapataje kodi yao?
Mfano leo nimeweka mafuta kwenye petrol station flani nikapewa risit hii..View attachment 347244
Ebana hata mimi nimenunua Mafuta ya 85,000 elfu pale Gapco posta nimeletewa receipt vat inaonesha 0 nilishangaa
 
Back
Top Bottom