Jamani, naomba ufafanuzi. Kwa nini vituo vya BRT (mwendokasi) barabara ya Bagamoyo Road kuanzia Mbezi Beach vimejengwa virefu sana, na pia vimekaa karibu karibu kiasi kwamba hata mita 400 havifiki kutoka kituo kimoja hadi kingine? Kuna sababu maalum ya kiuhandisi au mipango ya usafiri iliyotumika hapa?”