Beso
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 216
- 59
Kwenye logo hii ya klabu ya yanga kuna alama ya mwenge,tulifahamishwa maana ya mwenge wa uhuru uliowashwa na kuwekwa kwenye kilele cha mlima kilimanjaro tarehe 9/12/1961 ulikuwa na malengo ya
1.kuangaza nchi pamoja na mipaka yake
2.kuleta matumaini pale yalipokosekana
3.kuleta upendo pale penye uhasama
4.kuleta heshima pale penye kudharauliwa.
aidha ujumbe wake umekuwa ukibadilika mwaka hadi mwaka!!!!JE HUU MWENGE KWENYE LOGO YA WANAJANGWANI UNA MAANA GANI? NAOMBA KUELIMISHWA!