Ufafanuzi kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne

KabudiMasta

Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
10
Reaction score
9
Kwema wana JF,

Nilikuwa nahitaji kujua kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne, nilimaliza 2018 nikapata C mbili na D moja, hivyo nataka kurudia masomo matano pamoja na hilo nililopata D, sasa swali langu ni kwamba nikirudia cheti kikitoka kitakua na zile C zangu mbili? Au mfumo wa cheti cha kurudia kinakuaje!
 
Zinakuepo kivipi.? Sio kwamba anapewa cheti kingine chenye matokeo mapya
Kwema wana JF,

Nilikuwa nahitaji kujua kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne, nilimaliza 2018 nikapata C mbili na D moja, hivyo nataka kurudia masomo matano pamoja na hilo nililopata D, sasa swali langu ni kwamba nikirudia cheti kikitoka kitakua na zile C zangu mbili? Au mfumo wa cheti cha kurudia kinakuaje!
Necta wanatoa cheti kwa masomo uliyoyafanyia mtihani

Mfano. Ufanye mitihani 3 alafu cheti kiwe na matokeo ya mitihani 5? Hio haipo.

Kama unataka cheti kimoja kikamilifu, rudia masomo yote.
 
Ooh kumbe mtu akirudia masomo yote anapewa cheti kipya.?
 
Kwema wana JF,

Nilikuwa nahitaji kujua kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne, nilimaliza 2018 nikapata C mbili na D moja, hivyo nataka kurudia masomo matano pamoja na hilo nililopata D, sasa swali langu ni kwamba nikirudia cheti kikitoka kitakua na zile C zangu mbili? Au mfumo wa cheti cha kurudia kinakuaje!
Inawezekana nimechelewa kutoa jawabu/ufafanuzi lakini pia naamini kwa wale watakao taka kurudia itawasaidia.
Ipo hivi, Ukirudia mtihani ni lazima upate cheti, haijalishi ni masomo mangapi umeyafanya. Kigezo cha kusoma A-level ni 'C' tatu na kuendelea. Sasa kama unazo 'C' mbili na ukapata ya tatu kupitia ku-resit ina maana utatumia vyeti viwili tofauti kupata sifa za kujiunga A-level. Kama ktk cheti cha re-sit ukabahatika kupata ''C' tatu au zaidi, unaweza kutumia hicho hicho cheti cha re-sit ku-join A-level alimradi combi zime balance tu.
Personally, nimetumia vyeti viwili kwenda A-Level, hivyo inawezekana tu, just do it!
 
Hapo ndugu yangu utakuwa na vyeti viwili Cha zaman na new one but unaweza kwenda kuunganisha kikawa kimoja ila Kuna gharama za kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom