King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,374
- 99,174
Umofia Kwenu,
Hv hz plate no za rangi ya kijani au blue wanatoa kwa mtu yeyote au ofisi za kibalozi? Maana kuna moja V8 nyeusi inapita hapa kunduchi mtongani nimeshindwa kuielewa ni ya nchi gani imeandikwa T 00144 EAC ndani yupo dada wa kihindi,Je kuna namba unaweza ukasajiri kwa ajili ya afrika mashariki,je mtiriko wake ukoje ni no based au alphabet based?
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa