The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,162
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-
1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar🙈
2. Unaishi Mwanza ila wimbo wako bora ni "ninogeshe" ya nandy, we nae ni mwanaume wa Dar🏃♂🏃♂
3. Uko arusha ila unakula soda na biscuits unashiba na kulala kabisa Usiku, we ni mwanaume wa Dar😨
4. Unaishi Tanga ila TV show unazoangalia ni shilawadu, chereko na ng'aringa'ri, wewe ni mwanaume wa Dar😜
5. Unakaa mbeya ila unaagiza chips yai afu unakazia iwe na tomato nyingii, we ni mwanaume wa Dar😊😊
6. Uko Iringa ila Unachatt kwa kuandika x badala ya s, lmao, lol 😀😀 wewe ni wa Jiji la chalamila😀😀
7. Unaishi Singida ila umemfollow Bob risky, James delicious na kaoge, wewe ni mwanaume wa Dar tena Uwanja Wa fisi😳
8. Unaishi Musoma ila una dressing table ndan, wewe ni mwanaume wa Dar😡😡
9. Unaishi Simiyu ila uktoka kuoga unavua kila kitu ndo upake mafuta, wewe ni mwanaume wa Dar😎😎
10. Unaishi mtwara ila unaweka status picha ishirin, wewe ni mwanaume wa Dar🤐😊