marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,113
- 1,952
Cha lukakuHakuna utaratibu wa kumpa chochote Lukaku??
Fauatilia vizuri mkuuUtaratibu wa fifa wanaangalia idadi ya dakika mlizocheza kama mmelingana sio Assist kama mtoa mada ulivyosema
PamojaSawa nimekupata vzr tu Chifu.
Hakika hzo zilikua nyakati bora Sana EPL ilikua bora na yenye mvuto wa kipekee Sana lakini Pia timu kongwe Ndio zilikua ziki Shika hatamau Kama vile United Liverpool na arsenalHii ilishatokea hapo awali wakati Chris Sutton, Michael Owen na Dion Dublin wakiringana magoli mwaka 1997-98 na tena ikatokea mwaka 1998-99 wakati Jimmy Floyd-Hasselbaink, Michael Owen na Dwight Yorke wakiringana magoli .
Naam mkuu.. Hizi zilikua nyakati bora kabisa za EPL
Fifa wanaangalia dakika mkuu kumbuka yale ya Torres brazil 2013Fauatilia vizuri mkuu
Kombe la mabara 2013 hii torres akawa mfungaji bora maana alicheza dakika chacheFifa wanaangalia dakika mkuu kumbuka yale ya Torres brazil 2013View attachment 1096544
Umenichekesha kweli.Hakuna utaratibu wa kumpa chochote Lukaku??
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Cha lukakuView attachment 1096249
Unajua tores alikua na assist ngapi?Fifa wanaangalia dakika mkuu kumbuka yale ya Torres brazil 2013View attachment 1096544
Ishu ilikua dkk alizocheza assist hawahesabu ndomana iyo figure imeweka dakikaUnajua tores alikua na assist ngapi?
SawaIshu ilikua dkk alizocheza assist hawahesabu ndomana iyo figure imeweka dakika
Wamewakirisha vyemaNawaona waafrika wenzangu