Ufafanuzi kauli tata ya Asharose Migiro

Mie hata sielewi mara mpare mara anatoka Songea, sikujua kama siku hizi Songea pia kuna Wapare.

Kwa kauli yake mwenyewe mama Migiro jana alitamka amezaliwa Songea!! Sasa labda watueleze kuwa baba yake mzazi ni mpare, kwa kuwa yote yanawezekana kuzaliwa Songea lakini baba mpare kwa sababu labda baba alikwenda huko kikazi!!!
 
Ndiyo nashangaa juzi kasema anatoka Songea wakati niliona picha hivi karibuni akiwa na kaka zake kule upare kwenda kuzuru kaburi la Baba yao na wazee wao wengine waliotangulia. Sasa kumsikia akisema yeye ni wa kutoka Ruvuma nikapigwa na butwaa zito.

..kwao ni usangi mwanga kilimanjaro.

..tena ni mtoto wa Chifu/Mfumwa Shaaban Mndorwe Mtengeti Sangiwa.

..baba yao alifariki wakiwa na umri mdogo hivyo wamelelewa na mama yao ambaye ni mtu wa pwani.

cc AudiG7
 
Hilo la kuzaliwa Songea linawezekana.

Kwa kauli yake mwenyewe mama Migiro jana alitamka amezaliwa Songea!! Sasa labda watueleze kuwa baba yake mzazi ni mpare, kwa kuwa yote yanawezekana kuzaliwa Songea lakini baba mpare kwa sababu labda baba alikwenda huko kikazi!!!
 
JK rais lakini anaongoza kikao kikubwa kama anatungua maembe Bagamoyo.

Magufuli kamaliza kutoa speech, JK kamdaka, akamwambia "mbona hujaimba hadi mselema?". Magifuli ikabidi arudi mimbarini kuimbisha "Hadi mselema, hadi mselema, Kikwete selema".

Nikaona kama habari yenyewe ndiyo hii tunaanza kuona remote cintrol inavyofanya kazi. Magufuli aangalie Ikulu yake isiendeshwe kutoka Msoga.

Mkuu remote cintrol kweli ikulu inaweza endeshwa kutoka msoga je magufuli akiamua kutumia remote control itakuaje ????
 
Hilo la kuzaliwa Songea linawezekana.

We ndugu yangu yeye mwenyewe ametamka kuwa kazaliwa Songea, sasa wewe unaanza kupiga ramli!!!

Kweli wa-Tanzania bure kabisa!! Akili za panzi!!
 
Hapana mkoba aliusahau na ndipo alipopewa mumewe na alipokumbuka alitaka kurudi ndy akaona upon mikononi mwa mwl.wa Magufuli.
Kilichotokea ni re-flex action. Tikio la ghafla ubongoni.
 
Ila pale alipigoma kusaidiwa mkoba hata mm nimeshangaa

Hakugoma kusaidiwa.. Mkoba aliusahau mumewe ndio akawa anamrudishia naye akaudaka fasta..

Watanzania ni kama mandoroboo yanapenda sana kukuza mambo ili yaonekane yanaufahamu mkubwa.. Migiro aliitoa ile Statement kiutani ila kwetu imekuwa ishu.. Statement kama ile ingetolewa na Hillary Clinton wala isingekuwa ishu tena ndoroboo wengine wangesifia.. Ukiangalia Speeches nyingi za wenzetu lazima mtu aweke kiutani kidogo humo ndani ili asihamishe attention za watu..

Kuna mijitu mingine humu inajua kuandika kiengereza tu ila haijaenda shule kabisa au hizo shule walizoenda labda walienda kusomea ujinga.. Sidhani hata somo la "Communication Skills" walilisoma. Ule mkutano almost wote mule walikuwa hoi kwa uchovu, siku 3 mfululizo bila usingizi wa kueleweka then bado unataka mambo yaendeshwe kuserious kama watu wa NASA wanavyopeleka chombo anga za mbali. Watoa speech wazuri lazima waweke manjonjo kama yale kwenye speeches zao, Nyerere nae alikuwa na utani mwingi tu ila JK kufanya utani inakuwa ni kosa..
 
Kwako wewe lakini kwa wengine alichotamka ni kashfa kubwa sana. Hata kama unataka kufanya unataka utani hadharani lazima uwe makini vinginevyo hutaeleweka na jamii iliyokuzunguka. Si kila utani unastahili kutumika hadharani.

Inawezekana Seif Khatibu ni mzazi mwenzie kwa sababu kinamama wa siku hizi huzaa hapa na pale.2
 
Ile mimi naona ilikuwa ni inside joke tu. Wahusika wenyewe waliielewa na hakuna shida yoyote ile.
 
Back
Top Bottom