Ufafanuzi kauli tata ya Asharose Migiro

Hizo ni jokes tu za kunogesha
unafikiri ingekuwa kweli angethubutu?
Jokes of very bad taste The Boss.Kwa ufahamu wake wa diplomasia hawezi kutoa joke ya aina hiyo.
She must have been referring to something unknown to many of us! Hata mie nilimsikia
na ningependa sana kujua alimaanisha nini kwa kusema vile!
 
Last edited by a moderator:
scenario kama hiyo nishaiona mtu akimuita hivyo shemejie na mumewe!mfano huyo jamaa awe kaoa dada au mdogo wake asha,au jamaa ni kaka/ndugu wa mume wa asha!yawezekana ni katika hali hiyo..muhimu kwa kutamka kwake hadharani ni dhahiri haita mkwaza mumewe though yaweza kumkwaza mke wa jamaa ndio maana akasema ana imani kauli yake haita leta makwazo kwa familia ya huyo jamaa,lakini naona hakuwa sahihi kwa vile hilo ni jambo ambalo wengi hatulijui matokeo yake ameleta viulizo vingi.

ukitania hadharani be sure watu wanajua unachotania,mfano sote tunajua mke wa jk ni mwalimu hivyo walimu walivyosema shemeji unatuachaje tulielewa kinyume chake watu tungetoa tafsiri za ajabuajabu
 
Jokes of very bad taste The Boss.Kwa ufahamu wake wa diplomasia hawezi kutoa joke ya aina hiyo.
She must have been referring to something unknown to many of us! Hata mie nilimsikia
na ningependa sana kujua alimaanisha nini kwa kusema vile!

Labda kuna kitu hatujui
labda mumewe wamesha separate..
 
Alilengwa kaka wa aliyetajwa lengo ni kujionesha kuwa mume si kitu ningekuwa mimi prof siasa basi
 
kuna kipindi fulani nilisikia kwa mother mmoja kwamba alivokuwa sekondari na huyo mother alikua kitu cha nguvu sana ila mama akasisitiza kuwa alikuwa mwezeshaji sana wa mambo
 
Heloo,

..ushauri wa kwanza ktk public speaking ni kwamba, dont try to be someone/something ur not.

..kwa mfano, kama wewe siyo comedian, basi ghafla bin vu usijaribu kujidai masanja mkandamizaji.

..nadhani hicho ndicho kilichomtokea dr.migiro

The Boss
 
Last edited by a moderator:
Kuna comment ya mkulu pia,"una husband"!!. Kilichofuata ni utata wa kauli na vitendo vya Asha Rose Migiro na MR.Yaelekea kuna conflict.
 
Pengine mtazamo wangu ni tofauti.. alipouchukua mkoba kwa mumewe alimaanisha kwamba yeye bado ni mke wam mtu na anafahamu nafasi yake katika ndoa.. na hata JK alisema neno kwa tukio hilo ingawa sikusikia vizuri na watu walipiga makofi mengi tu.. kuhusu kauli tata kwakweli imekaa kiutani sana lakini kweli nakubali pale si mahali pake.. hawezi kuwa na nia ya kumdhalilisha mumewe kwa stage kama ile.. nakubali maneno ya mtu aliyesema usijaribu kuwa someone you are not especially in public
 
Save your breath, that's a minor thing mwachie mumewe Prof Migiro watamalizana nae, vinginevyo ingia tovuti ya Bunge: parliament.go.tz utapata namaba ya simu ya Asha-Rose umpigie umuulize. Ukikosa nipm nikupe! Angaika na na sera sio mambo ya watu, Ni UMBEA uchwara!
 
Ndio shida ya kuleta kauli za kwenye kitchen party kwenye mkutano muhimu kama huu, matokeo yake unawapa watu nafasi ya kuongelea non issues.., unless alikuwa anataka kubadilisha mjadala watu wasiongelee percent tatu alizopata
 
Panaonekana kuna mapenz ya maslahi na ndio maana wanawake hatuwaamini ktk uongozi wenu kwan mungu aliwaumba kwa madhaifu.
 
Back
Top Bottom