Ufafanuzi biashara ya Uwakala NMB, CRDB, M-PESA n.k

Ufafanuzi biashara ya Uwakala NMB, CRDB, M-PESA n.k

Hii biashara usikurupuke mzee utalia...usisikilize maneno ya watu.ni biashara nzurii ukiwa kwenyemzynguko wa watu.hii kwa uswazi inalipa.mtaji sio ussue hata laki tano unaweza anzia. nipo kwenye hii industry mwaka wa pili huu
Vipi kama unapata wateja 30 hadi 40 kwa siku? Kamisheni yake ya weza kuwa ngap kwa mwezi?
 
Safi sana... Kwa hizo MPesa hata ukianza na laki tano tani siyo mbaya...

Kwa hizo za Bank jitahidi uwe na mtaji mkubwa kidogo faida yake utaiona...




Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom