Ufadhiri wa kuandika kitabu napataje?

Ufadhiri wa kuandika kitabu napataje?

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,181
Reaction score
1,494
Nawasalimu wote na naomba nitangulize kuomba radhi kabisa kama ntakuwa nimeleta mada jukwaa sio sahihi.

Naomba kufahamu namna ya kupata ufadhili wa namna ya kufanya Utafiti na hatimaye kuandika Kitabu.
Email yangu
nyakapala001@gmail.com

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Nawasalimu wote na naomba nitangulize kuomba radhi kabisa kama ntakuwa nimeleta mada jukwaa sio sahihi.

Naomba kufahamu namna ya kupata ufadhiri wa namna ya kufanya Utafiti na hatimaye kuandika Kitabu.
Email yangu
nyakapala001@gmail.com

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Kupata "ufadhiri" sio rahisi. Labda ungetafuta ufadhili...

Ngoja waje wanaowajua wafadhili.

Mi kazi yangu ni kukuombea heri na fanaka katika jambo lako
 
Kupata "ufadhiri" sio rahisi. Labda ungetafuta ufadhili...

Ngoja waje wanaowajua wafadhili.

Mi kazi yangu ni kukuombea heri na fanaka katika jambo lako

Lugha imekuwa tatizo japo naamini lengo limeeleweka na ujumbe umefika,asante
 
Back
Top Bottom