Ufadhili

Ufadhili

Ngalamas

Member
Joined
Aug 2, 2018
Posts
67
Reaction score
51
Mimi ni mwanafunzi nasoma medical laboratory science katika chuo kikuu cha ruaha catholic(rucu)
Naomba mtu wa kunifadhili masomo
0769395606
0621004002
Ata ushauri ni Masada kwangu
 
Unasoma kozi ya kipaumbele, kwanini hukupata mkopo.
 
mkuu. samahani kidogo vipi hapo chooni kwako upatikanaji wa matirio ,starehe( cafe ya kucheck game) n.k inshort nataka kuja hapo september nisaidie mkuu PIA nisemehe kwa kukuharibia uzi
 
mkuu. samahani kidogo vipi hapo chooni kwako upatikanaji wa matirio ,starehe( cafe ya kucheck game) n.k inshort nataka kuja hapo september nisaidie mkuu PIA nisemehe kwa kukuharibia uzi
Kila kitu kipo mkuu
 
Back
Top Bottom