una uhakika hiki ulicho mshauri?Nakushauri usipote mda wako huko nenda pale DTI kuna short course za Petroleum and Gas piga zile ndio fursa ilipo uko
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Unaushauri mzuri zaidi wa huo? Unajua mshahara wa manager wa Petrol station Au pipe line operator ?una uhakika hiki ulicho mshauri?
Nilipata matatizo kiafya mkuuMatokeo yako Ni mazuri Sana. Nakushauri Anza kuomba nafasi chuo Kwanza( Omba diploma in clinical medicine chuo Cha serikali, utapata kwani una ufaulu mzuri)
Ukipata barua ya admission chuoni nenda Kanisani/msikitini utachangiwa Ada. Hata hapa JF wako wadau watakuchangia
Kama hutojali , kwa Nini hukufanya mitihani ya kidato Cha sita?
Asante mkuuUnaushauri mzuri zaidi wa huo? Unajua mshahara wa manager wa Petrol station Au pipe line operator ?
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Pole Mkuu. Mungu akusaidie utasoma tu.Nilipata matatizo kiafya mkuu
Asante sanaPole Mkuu. Mungu akusaidie utasoma tu.
Sawa mkuu ntafanya hivyoChukua ushauri hapo juu tafuta chuo kwanza na coz ya ndoto zako then Rudi hapa tukuchangie mie binafsi ikiwa utakidhi vigezo vya kupewa msaada Basi nitalipa gharama ada kwa miaka miwili.
Sio nitafanya hivi kwa ajili ya kutafuta sifa ila nimekumbuka Jambo gumu sana kuhusu member mmoja hapa Jf ( MPAUKO) nisamehe huko uliko😭😭😭