Ufadhili Wa Mafunzo ya Ufundi Stadi

Huku veta dodoma vijana wengi sana
nafasi bado zipo hivyo tunakaribisha zaidi watu
mafunzo haya yanatambulika kama apritenciship training yaani short course kwa miezi sita jumlisha na field miezi kama nane., utasoma level 1 na 2 ila ukitaka kuendelea level 3 unajisomesha
safari hii tenda wamepata veta tofauti na mara nyingi ilikuwa ni don bosco
ila don bosco wapo vizuri sana kuliko veta
 
Nasikia kwa Veta Chang'ombe watuma maombi wameshafikia idadi ya 20k wakati Tanzania nzima wanatakiwa about 12k ...

Hali si hali...
Jaman mlioapply veta kipawa&chang'ombe vp kuna mtu kaitwa huko??? Maana masomo yanaanza jtatu tarehe 17 lakn mpaka saiz naona No sms No call. Ndo kwamba nmekosa au??
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom