Fugitive
Member
- Sep 5, 2014
- 16
- 3
Hawo ni mapacha na Graduate International Org, Ninacho kupongeza umekua mwepes kuleta jambo lako jamvin na wadau wasio na hiyana wanakusaidia kutegua kitendawil ulichonacho................of coz nawashukuru sana wana jf coz wamenitoa porin na kuniweka road tangu GIO walipo waliponiachia manyoya kwa mara ya kwanza .so be care my friend kuna watu wanataka kutunia shda yako to enrich themselves an ths is due to severe unemployment