UEFI windows 10 iso

Sam pizzo

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
846
515
Wakuu, habari yenu natumai mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya maisha ya kila siku.
Nimepata Windows 10 iso file then nikatengeneza USB bootable kwa kutumia Rufus (NTFS file,GPT partition) nikajaribu kuinstall windows on Toshiba satellite but inaload inaishia kwenye blank screen

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Hyo laptop ina support UEFI? Na imesetiwa kama UEFI kwenye BIOS?
 
Ni
Wakuu, habari yenu natumai mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya maisha ya kila siku.
Nimepata Windows 10 iso file then nikatengeneza USB bootable kwa kutumia Rufus (NTFS file,GPT partition) nikajaribu kuinstall windows on Toshiba satellite but inaload inaishia kwenye blank screen

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Nitumie hio aina ya window mzee
 
Mkuu nina same probem. Nainstall Windows kuna sehemu inaniambia "Windows cannot be installed to this disk. The selected disk is not of the GPT partition style"

Nafanyaje?
 
Tengeneza flash ya MBR na iwe in Legacy Option or BIOS. Tumia application inaitwa Rufus kutengeneza hyo flash
 
Back
Top Bottom