UEFI Mode

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,527
Reaction score
5,981
Heri wadau.
Naomba msaada wenu.Kuna machine hizi za Kichina aina ya Positivo BGH.Inarun Windows 10. Sasa nashindwa kubypass Logon Account Password. Software kwingine inafanya kazi vizuri tu,ila nikifika kwenye hii system inagoma.Kwa anayejua anisaidie tafadhali
 
Asante sana for your concern. Hii model niliyotaja ukiingia BIOS havibadilishiki,nimejaribu kila njia hamna kitu
kabla ya kuingia bios unatakiwa uingie advance boot option. umefuata maelezo ya link ya pili?
 
Kati ya uefi na legacy option ni ipi bora ya kutumia kuingiza windows kwa njia ya flash...sometimes nabahatishaga na nasahau haraka ni option ipi nliyotumia kuingizia window bila kupata zile error za unavyo install window
 
legacy ndio ya zamani enzi za windows 7 kushuka. hiyo ndio haileti tatizo. ila uefi mpaka udisable secure boot kwanza.
 
legacy ndio ya zamani enzi za windows 7 kushuka. hiyo ndio haileti tatizo. ila uefi mpaka udisable secure boot kwanza.
Nna swali la ziada...hivi ukiburn CD ya window ukaitumia kuingizia window hapo inatumiaga legacy au uefi
 
Nna swali la ziada...hivi ukiburn CD ya window ukaitumia kuingizia window hapo inatumiaga legacy au uefi
compability ipo kwenye pc na sio cd au flash au kifaa cha kuingizia windows.

pc ikiwa ni legacy basi haitachagua os ila ikiwa ni Uefi(secure boot) itachagua.
 
Wasalam wakuu. Nimerudi na swali la mada yetu kama ilivyo kwenye topic.
Nilifanikiwa kuinstall windows 7 kwenye PC yenye hizo options zote.Bahati mbaya,nikijaribu kuweka Antivirus inagoma.
Ni challenge. Msaada wenu ni wa mhimu sana
 
inagoma vipi? kuna error yoyote inatokea? hujaeka ant virus mbili tofauti?
 
Naombeni nijijibu, na huenda ikawa msaada kwa wengine. Baada ya kuhangaika, nimerun setup ya antivirus kwenye compatibility mode.Nimefata steps hizi:
1.Nimebrowse file zilizopo kwenye CD.

2.Nimeenda kwenye file la SETUP, right click af Properties. Nimeenda kwenye compatibility tab, nikachagua Windows Vista Service Pack 1. Af nikatick Run as administrator. Nika apply na ok.

Nimerun nikaona imekubali.
 
inagoma vipi? kuna error yoyote inatokea? hujaeka ant virus mbili tofauti?

Mkuu, Hii ni HP Pro 3500. Ina UEFI na Legacy. Sasa kucheza nazo naona mziki. Ilikuja na Windows 8, wakaiformat na kuweka win7. Badae ilicrush tukaweka HDD mpya,leo siku ya pili nahangaika nayo, kuweka windows zote inagoma.Later nikamanage kuweka Win7,lakini Kaspersky ikawa haiingii.

Hii issue ni mara ya pili nakumbana nayo baada ya topic hii kuianzisha nilikuwa nimekumbana na issue kama hiyo hiyo.
 
hapo ina maana una cd ya zamani sana toka enzi za vista
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…