UEFA Super Cup 2012 - Chelsea FC Vs Atletico Madrid : Live Updates

UEFA Super Cup 2012 - Chelsea FC Vs Atletico Madrid : Live Updates

Tunamwomba Mungiki Brother o oooops aunganishe hii thread na ile ya Chelsick maana ngoma imeisha chacha, ili tupate mfululizo mzuri
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
leo tumeaibishwa na hawa viumbe. lakini leo beki walikua hawaelewani. Tutajipanga upya. mia
 
leo tumeaibishwa na hawa viumbe. lakini leo beki walikua hawaelewani. Tutajipanga upya. mia


Figganigga kombe lenyewe mlilichukua kwa bahati mbaya, sasa huko kujipanga ni kupi?
Kajipangeni kukwaana na Wigan na QPR....

Teh teh wanasema siku ya kufa Mbwa pua zote zinaziba, naona kila mliemjaribu akawa ushuzi...dah mkamkumbuka Monster Didier
 
Back
Top Bottom