UEFA Super Cup 2012 - Chelsea FC Vs Atletico Madrid : Live Updates

Garry Cahil scores.....

Dakika ya 75

Chelsea 1-4 Atletico Madrid
 
Dakika ya 90

Chelsea 1-4 Atletico Madrid

Chelsea wanakoswakoswa goli la 5.....Mpira unagonga mwamba
 
Hili nilishatabiri kitambo!

Falcao kama watatajwa maforward ulaya hakika hauwezi mwacha kamwe!
Huyu dogo toka Colombia ni hatari sana kwenye kumi na nane!

Matokeo haya yamenifanya nianze weekend safiiiiii!!
 
Back
Top Bottom