Sasa hii ni mada kweli? Jamani tuheshimu hili jukwaa.
kwani sii ijumaa au ni leo maana nachoka tu hapa..
Samahani kwani kuna kosa kuweka mada ya CL Draws??
Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
Ngoma imetoka vingine kabisa
-Man United Vs Real Madrid
-Arsenal Vs Bayern Munichen
Hapa kuna dalili za mmoja wa waingereza kung'oka mashindanoni.
Manchester United Vs Real Madrid? Hapa hapatoshi!
Sawa tu kaka. Hakuna kosa.
Itabidi patoshe tu kazi kweli kweli...Yaani asiye na mwana aeleke jiwe.