Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,163
- 17,067
Timu zinaingia kwa sasa...
Real Madrid washafungwa mpaka sasa.
Kwa nini.!Real Madrid washafungwa mpaka sasa.
sikumbuki n lini mara ya mwisho Madrid kumfunga AtleticoHii game nyepesi sana kwa R.madrid
Pamoja sana Kiongozi. A.M mambo yoteTeam Atletico
sikumbuki n lini mara ya mwisho Madrid kumfunga Atletico
ni miaka miwili sasaFainali ya UEFA 2014