successor
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 3,084
- 6,155
Chelsia anakutana na Man City jumapili. Mourinho anaujua mziki wa watoto wa Etihad vizuri sana. Alikuwa anahofu silaha yake anayoiaminia isije pata mushkeri, ndo mana akamuanzishia benchi na si kwamba hakuwa fit.
Nasubiri kushudia hawa Man City wakimnyamazsha Mourinho, mana tumechoka.
Utasubiri sana na utachoka zaidi....Jumapili utashuhudia Man. City akipokea kipigo cha maana na kelele zenu zitaisha...mtakuja na ngonjera mpya. Tumewazoea watu kama nyie