Bayern Munich Subs: Reina, Dante, Robben, Shaqiri,
Pizarro, Rode, Hojbjerg.
Bayern Munich (4-1-4-1): Neuer; Rafinha, Boateng,
Benatia, Bernat; Alonso; Götze, Lahm, Müller, Alaba;
Lewandowski.
Huyu Reina angetulia zake Napoli akala maisha. Sasa huku Bayern karifuata benchi, na hata zile ndoto zake za kuwa 1st eleven ya Spain zimefikia ukingoni.
Napoli walishindwa mshahara wake,Bayern ameenda kuboresha CV yake posibility ya kubeba makombe ni kubwa
Kama ndio hivyo, target yake itakua ni UEFA Champions League.
Jana,akiingia dakika ya 75 kuchukua nafasi ya Drogba,hajapiga hata kashuti ka maana langoni. Wajerumani wakakaba hadi kivuli. Yaani unazifunga nyanya za Uingereza ndio unajisifusifu hovyo. Diego Costa hakuna lolote. Heri Messi na Ibrahimovic waliotoa pasi za mabao jana. Na hiyo ndiyo CL,kipimo cha juu cha soka la Ulaya. Waulizeni Man City watawaambia....huku bingwa...huku kibonde.
Mkuu Costa ni hatari ila ysonesha anakabika
mods unganisha huu uzi na chelsea huyu hajui hata anaongea nini..
Jana,akiingia dakika ya 75 kuchukua nafasi ya Drogba,hajapiga hata kashuti ka maana langoni. Wajerumani wakakaba hadi kivuli. Yaani unazifunga nyanya za Uingereza ndio unajisifusifu hovyo. Diego Costa hakuna lolote. Heri Messi na Ibrahimovic waliotoa pasi za mabao jana. Na hiyo ndiyo CL,kipimo cha juu cha soka la Ulaya. Waulizeni Man City watawaambia....huku bingwa...huku kibonde.
Ni mshambuliaji wa mechi yule Mkuu[/QUOTE
"Costa has a problem," Mourinho said of his striker. "If he has one week to let the muscle recover he can start a game. Playing on Saturday, three days is not enough for him to recover.
"It was not to protect for the game Sunday [at Manchester City], it was because today he was not in condition to start the game."
Chelsea hawezi kuwa kibonde hata siku moja CL, usiifananishe na timu yoyote ya Uingereza. Costa jana hakuwa fiti kucheza ile game na ndio maana alianzia bench. Nina imani unalijua hilo ila ni uchokozi tu.
Chelsea ndio timu itakayofika fainali kwa timu za England, zingine zitaisha kwenye makundi na itakayojitahidi sana itafika 16 bora na si zaidi ya hapo.
Punguzeni wivu, kama nyie mmefulia msimu huu tuacheni sisi tutambe.
#TheBlues