Mzee download hii ni soooooo la la la la https://play.google.com/store/apps/details?id=com.gcm_call_sms_tracker
mijanaume mibwege utaisikia tuu,eti kumegewa ni siri ya ndani.
Nonsense.Yani wewe ukiona una megewa, tambua hiyo ni alam kuwa hujakamilika mwanaume katika mambo flani flani, so kupitia hii ishu ndio unadhihirisha udhaifu wako, kuwa wewe ni dhaifu.
Sasa wewe endelea kupeleleza alacho bata ..
Unataka kufanya kama yule edzen the rocker? una kifua?
Umefanyaje mbona nijaribu hizo app sioni sehemu wananiletea kuweka namba ya ninaye mdukuamkuu nimeshapata moja,na nadukua tu sim ya wife bila yeye kuwa na habari.