Udukuzi mawasilano ya sim / hacking

Udukuzi mawasilano ya sim / hacking

michepuko

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
1,192
Reaction score
346
Ni software gani naweza ku install kwenye simu ya mtu mwingine na nikaweza kudukua/hack mawasiliani yake na watu wengine?
 
Unampango wa kufumania nini?! Cheki youtube kuna video za maelekezo
 
Mimi sikushauri chochote juu ya hilo, zaidi ya kusema hicho unachotaka kukifanya sio kitu kizuri, unajitafutia matatizo tu. Kama ni mwanamke tambua mwanamke hafuatiliwi hata siku moja.
 
Unataka kufanya kama yule edzen the rocker? una kifua?
 
Unataka kufanya kama yule edzen the rocker? una kifua?

Huyu mtu hata ID yake nushidaaaah….. Hayo mambo awaachie wenye taaluma hiyo(wapelekezi) , tumechoka kusikia fulani kajiua mara kajipiga risasi.
 
zipo nyingi nzuri!google parental control app (android/maemo/etc) chagua inayokufaa!
 
Ni software gani naweza ku install kwenye simu ya mtu mwingine na nikaweza kudukua/hack mawasiliani yake na watu wengine?

Mpe nafasi na mwenzako achepuke...haha

Anyway huo ni utani tu ila kuna app iliyo google play store inaitwa sms tracker ila kwa kua google niwaelewa wameiruhusu hii application sababu haijifichi ktk background na umpa taarifa mtu kinachoendelea(or less kama hajui kingereza na ku-uninstall apps basi utamdakua)
www.smstrackerweb.com
 
mkuu kuna moja nimepata inaitwa spysmspro,hii inapatkana playstore,na hidden app (hai display kwenye screen) tatizo ni trial version,ikiisha unalipia kwa 5usd kwa mwezi.Mi nataka ya mserereko kabisa.ni nzuri namsoma sana shemeji yako bila yeye kujijua,hasa miamala ya pesa.
 
Mimi sikushauri chochote juu ya hilo, zaidi ya kusema hicho unachotaka kukifanya sio kitu kizuri, unajitafutia matatizo tu. Kama ni mwanamke tambua mwanamke hafuatiliwi hata siku moja.

mkuu ndo nataka niwajue wanaomfatilia,uskute unagongewa na jirani yako hivihivi.
 
kumbe huku nako kuna soko zuri... haya subiri nianze kudevelop nkimaliza after a month hvi ntakupm, ntaiuza nje ya app store lakini maana ni kama kamalware flani.. ila itabidi uilipie kila mwezi..
 
Back
Top Bottom