INATEGEMEA;Hivi inakuaje ndugu yako wa damu anfurahi unapo patwa na matatizo.
Umuamini nani dunia ya leo [emoji21][emoji37]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli?Nimefurahi kuona kuna watu wana imani na baba zao.Katika mashsuri mengi yatokeayo katika familia,akina baba huwa ni watu wa kutengwa baada ya kutimiza majukumu yao ya kukuza watoto na upendo wote hupewa mama pekee.Baba anajizeekea kwa upweke na uchungu tu.Bravo!Mimi namuamini baba angu tu hapa duniani
Nakushauri na wewe ufanye hivyo
Kweli?Nimefurahi kuona kuna watu wana imani na baba zao.Katika mashsuri mengi yatokeayo katika familia,akina baba huwa ni watu wa kutengwa baada ya kutimiza majukumu yao ya kukuza watoto na upendo wote hupewa mama pekee.Baba anajizeekea kwa upweke na uchungu tu.Bravo!
Thank you,Jo!I can see you in onto my daughter's attitude! Hoorah to us,the fathers!Mie baba ndio anaanza
Hakunaga kama baba
Japo mama nae mzuri
Mmh mbona asilimia kubwa ya watoto wa kike wako hivyoThank you,Jo!I can see you in onto my daughter's attitude! Hoorah to us,the fathers!
Mimi nampenda baba yangu kuliko mama kwasababu baba amenilea kama rafiki na mtoto wake. Alinifanya ndio mshauri wake na nikijua wapi anaweka hela yakeKweli?Nimefurahi kuona kuna watu wana imani na baba zao.Katika mashsuri mengi yatokeayo katika familia,akina baba huwa ni watu wa kutengwa baada ya kutimiza majukumu yao ya kukuza watoto na upendo wote hupewa mama pekee.Baba anajizeekea kwa upweke na uchungu tu.Bravo!
Wengi wao huwa udogoni mwao na kabla hawajaolewa.Wengine akishavurugwa na kuwa "corrupted"" na mumewe anajenga chuki kwa kila kiumbe cha kiume hadi baba yake.Namaanisha huweza(kazania hapo anaweza)kubadilisha upendo wake wote.Mmh mbona asilimia kubwa ya watoto wa kike wako hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaaa! You were,and maybe still,friends with benefits!Mimi nampenda baba yangu kuliko mama kwasababu mama amenilea kama rafiki na mtoto wake. Alinifanya ndio mshauri wake na nikijua wapi anaweka hela yake
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Sidhani, nina mifano haiWengi wao huwa udogoni mwao na kabla hawajaolewa.Wengine akishavurugwa na kuwa "corrupted"" na mumewe anajenga chuki kwa kila kiumbe cha kiume hadi baba yake.Namaanisha huweza(kazania hapo anaweza)kubadilisha upendo wake wote.
Nikirudi kwako muheshimiwa:Nadhani ni wakati sasa kwako;Hivi inakuaje ndugu yako wa damu anfurahi unapo patwa na matatizo.
Umuamini nani dunia ya leo [emoji21][emoji37]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuishi kwingi kuona mengi.Naomba niishi kwingi kwa kupata mfano wako mkuu!Sidhani, nina mifano hai
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yako baba, mama ako na watoto zakoHivi inakuaje ndugu yako wa damu anfurahi unapo patwa na matatizo.
Umuamini nani dunia ya leo [emoji21][emoji37]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikirudi kwako muheshimiwa:Nadhani ni wakati sasa kwako;
-kutomuamini mtu awaye yote kwa lolote
-uwe msiri na muangalifu katika mambo yako
-mambo/maisha yamebadilika.Tusimuwekee nduguyo maneno.Hatujyi nini kimemkumba.
-Fanya mambo yako kwa bidii,maarifa ili kupata tija
-Ni muda wako wa kuingalia familia yako(kama unayo) na weye mwenyewe
-Ili hayo yaende vema jitahidi kutokuwa na kinyongo na huyo nduguyo au yeyote aliyekukwaza
-Kama ni muumini wa dini,basi zidisha maombi na kutoa sadaka.