Udugu haufi kamwe

Udugu haufi kamwe

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
3,697
Reaction score
3,413
Katika kile kinachoonekana kuwa kamwe udugu haufi, rais wa China yupo North Korea kwa ziara ya siku mbili,yaani leo Alhamisi na kesho Ijumaa.

Wataalam wa mambo, wanasema kuwa hii ni ishara ya kuionesha USA kuwa kamwe ndugu hao hawawezi kutengana.Ikumbukwe kuwa muda si mrefu, kiongozi wa North Korea alitembelea Russia.

Yetu macho na masikio.

 
Undugu wa kweli huu hapa!

 
Watu wanazidi kutungamana,Ngoja tuone mwisho picha litaisha vipi.
 
Back
Top Bottom