Triangle94
New Member
- Jun 5, 2013
- 1
- 0
halow, salaam kwa wote, m n member mpya
Hili jukwaa la picha weka na picha yako....
halow, salaam kwa wote, m n member mpya
Mobona umeandika UDSM au ndo unaposoma?
kazi ipo hapo..
udsm ndo imekuwa na watu wa namna hii?
:sad::sad::sad:
umesahau kumeza dawa nini?
Jamaa hana tofauti na MKUDE SIMBA.Juzi tu ametoka Milembe leo kisha sahau dawa!!! ifanyike mipango ya haraka tumrudishe naona bado dudu halijatulia
Haya ....halow, salaam kwa wote, m n member mpya
Ha ha ha afu wewe...Angalia vizuri kwenye avatar yake!
Ha ha ha afu wewe...
kwahiyo na wewe ndo huyo kwenye avatar?
umenchekesha lol
halow, salaam kwa wote, m n member mpya